Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Napoli, Mwenyekiti Bw Koshi na Katibu Bi Tandika wakiwa mkutanoni na Mheshimiwa balozi George Kahema Madafa.
Mheshimiwa balozi George Kahema Madafa akiweka saini kwenye kitabu cha wageni katika ofisi ya Jumuiya ya Watanzania waishio Napoli, Italia.
Mabalozi wa SADAC wakipiga picha ya pamoja na Mh balozi Madafa baada ya kikao kifupi juu ya maendeleo ya nchi.
Waambata wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia wakiongea na halaiki ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Roma.
Jumuiya ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Roma wakishiriki kwenye mkutano ulioandaliwa kwa ushirikiano na Ubalozi wao.
Watanzania waishio jijini Napoli, Italia wakishiriki kwenye mkutano na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo.