Matukio mbalimbali kwenye Ubalozi wa Tanzania mjini Roma - Oktoba 2019

mwenyekiti bwana koshi na katibu bibi tandika 2019 oct
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Napoli, Mwenyekiti Bw Koshi na Katibu Bi Tandika wakiwa mkutanoni na Mheshimiwa balozi George Kahema Madafa.

 balozi sahihi jumuiya ya watanzania waishio napoli 2019 oct
Mheshimiwa balozi George Kahema Madafa akiweka saini kwenye kitabu cha wageni katika ofisi ya Jumuiya ya Watanzania waishio Napoli, Italia.

 sadac ambassadors in rome 2019 oct
Mabalozi wa SADAC wakipiga picha ya pamoja na Mh balozi Madafa baada ya kikao kifupi juu ya maendeleo ya nchi.

 

waambata wa ubalozi wa rome wakiongea na watatnzania waishio rome 2019 oct
Waambata wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italia wakiongea na halaiki ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Roma.

 

tanzanians living in rome in a meeting 2019 oct
Jumuiya ya Watanzania waishio na kufanya kazi mjini Roma wakishiriki kwenye mkutano ulioandaliwa kwa ushirikiano na Ubalozi wao.

 

tanzanians working and living in napoli 2019 oct

Watanzania waishio jijini Napoli, Italia wakishiriki kwenye mkutano na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo.