tanzania
bendera

H.E. president Samia Suluhu Hassan na waandishi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu siku 100 tangu kuingia Madarakani tarehe 28 Juni, 2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

H.E. president Samia Suluhu Hassan na waziri nje malamula
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (kulia) katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika tarehe 23 Juni, 2021.