leadership tanzania-diaspora-in-italy 06-2014
Balozi Dkt. James A. Msekela (aliyeketi katikati), pamoja na baadhi ya Maafisa wa Ubalozi wa Roma, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa "Tanzania Diaspora in Italy" waliokuwa wamefika kujitambulisha. Aidha, siku hiyo ya tarehe 14/06/2014, viongozi hao walipata pia fursa ya kufanya kikao na Mhe. Balozi, ambapo kero na changamoto za watanzania nchini Italia zilizungumzwa. Kikao hicho kilikuwa cha mafanikio.