tanzania
bendera

Condolences for the demise of H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli

Rambirambi kwa kufariki kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

 

Renato
Mi unisco alle condoglianze al popolo della Tanzania per la scomparsa del suo Presidente.

22. 03. 2021
Florence Kamugisha Ngaiza : Poleni Watanzania Wenzangu
Ni msiba mkubwa, unaogusa na kutafakarisha sana. Pumzika kwa amani baba yetu, Rais Magufuli. Kwa neema ya Mungu, kwa juhudi zako na za wasaidizi wako umetufikisha tulipo. Mungu akutuze kwa mema yako. Pumzika kwa amani. Tunakuombea, utuombee. Poleni sana Watanzania wenzangu. MOYO MKUU, IMANI KUU. PAMOJA TUNAWEZA.

22. 03. 2021
Ambassador of Algeria to Serbia: Condolences
On behalf of the Group of African Ambassadors to Serbia, I extend my deepest condolences to Mr. George Kahema Madafa, Ambassador of Tanzania to Serbia and to Tanzanian people, on the passing of President John Pombe Magufuli. May his soul Rest in Peace.

22. 03. 2021
Alessandro Barbetti: Condoglianze
Porgo al Popolo tanzaniano le mie condoglianze per la morte del Loro Grande Presidente. Alessandro Barbetti

22. 03. 2021
SILVIA GROSSO: CONSOLE SÃO TOMÉ E PRÍNCIPE
Affected by the loss of H.E. Dr. Jhon Pombe Joseph Magufuli I offer my condolences for this sad moment of mourning CONSOLATO SÃO TOMÉ E PRÍNCIPE OF MILAN

22. 03. 2021
ferdinando pesce: We will remember your brave president
I send to the People of Tanzania and to the family of President John Pombe Joseph Magufuli as well as to the government and the embassy, my heartfelt condolences. I knew nothing of Tanzania up to last year. In this time I learnt to appreciate this people and his President. A great loss and not only for his country.

22. 03. 2021
World Food Programme - Executive Board S...: World Food Programme
The United Nations World Food Programme (WFP) presents its compliments to the Embassy of the United Republic of Tanzania and expresses its deepest condolences for the passing of H.E. Dr. John Pombe Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania. Our thoughts and prayers are with the President’s family, with the people of the United Republic of Tanzania, and the extended Embassy family in Rome, during this difficult time. The World Food Programme avails itself of this opportunity to renew to the Embassy of the United Republic of Tanzania the assurances of its highest consideration.

22. 03. 2021
ZAMBIAN EMBASSY IN ROME: MESSAGE OF CONDOLENCES
The Ambassador, His Excellency Dr. Joseph Katema, on behalf of the Government, Mission Staff and the people of the Republic of Zambia, wish to extend heartfelt condolences to our dear brothers and sisters in Tanzania on the untimely death of His Excellency Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania. President Magufuli will be remembered as an iconic pan-Africanist who contributed immensely to the socio-economic development of Tanzania, the SADC region and Africa. Our thoughts and prayers are with the people of Tanzania. MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL PEACE.

22. 03. 2021
Alfred Andrew : Salamu za Rambirambi
Natanguliza salamu za rambirambi kwa taifa lote la Tanzania kwa kumpoteza kiongozi wetu hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Katika uhai wake alilitumikia taifa letu kwa nguvu zake zote. Alitutia nguvu, alitupa matumaini na alituonyesha njia. Hakika ametimiza wajibu wake na hivyo basi mwenyzei Mungu ampatie pumziko la milele. Hatuna budi basi kumheshimu kwa kuendeleza yale yote aliyotufundisha. Salamu za pole sana ziende kwa familia yake, mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu na kwa serikali ikiongozwa na mheshimiwa raisi mama Samia Suluhu kwamba mwanga upo mbeleni. Alfred, Forli, Italy.

22. 03. 2021
Valeria Baroni on Behalf of Consul Green...: British Consulate General Milan
It is with the deepest sorrow that we as British Consulate General Milan have learnt of the death of H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli. We send our deepest sympathy to the whole Tanzanian nation.

22. 03. 2021
Consulate General of India, Milan- Italy: Condolences for the demise of H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of Tanzania
The Consulate General of India in Milan presents its compliments to the Honorary Consulate of Tanzania, Milan and has the honor to refer to the esteemed Consulate’s message regarding the passing away of the President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli. The Consulate General of India, Milan conveys its sincere condolences on the sad demise of President, Dr. John Pombe Joseph Magufuli and offers its heartfelt sympathy to the members of the bereaved family and the people of Tanzania. The Consulate General of India, Milan avails itself of this opportunity to renew to the Honorary Consulate of Tanzania, Milan the assurance of its highest consideration.

22. 03. 2021
Patrizia Cecconi : Condoleance
My sincerly condoleance with a big pain. I hope his work for tanzanian people will be continued. Rip President Magufuli

21. 03. 2021
Praksidisi Samweli kibasa: Mwamba tutakukumbuka
Sisi watanzania tutakukumbuka sana sana kwa mambo mengi mazuri ulio ya fanya katika taifa letu.kubwa zaidi kufanya taifa la Tanzania kuwa na uchumi wa kati.Miradi mbalimbali ya maendeleo ulio ianzisha ni ishara tosha ya kufanya sisi wa Tanzania tukulilie na tukukumbuke.Mungu atutie nguvu wa Tanzania wote katika kipindi hiki.

21. 03. 2021
Mkalikwanza: Pumzika kwa amani kiongozi wetu
Mzalendo wa kweli amekwenda,ni ngumu kujizuia kububujikwa na machozi lakini tutazamapo kazi kubwa aliyoifanya kwa Taifa lake tunapata nguvu ya kuinuka kuendelea pale alipoishia. JPM utaishi ndani ya mioyo yetu kila uchwao,ukitutia nguvu ya kuchapa kazi na kuamini hakuna lisilowezekana #pumzikakwaamani#tutaonanabaadae

21. 03. 2021
Caritas: Rambirambi
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie Jemedari wetu Baba yetu John Pombe Joseph Magufuli apumzike kwa Amani. Tutakukumbuka Daima Baba yetu kipenzi cha Watanzania

20. 03. 2021
 
Powered by Phoca Guestbook