tanzania
bendera

Condolences for the demise of H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli

Rambirambi kwa kufariki kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

 

Paola Slaviero: herthfelt condolences
Please receive my deepest condolences for the terrible loss of your president. I hope that Tanzanian people and government will continue on his path..... Best wishes to madame President. paola slaviero Rome Italy

20. 03. 2021
Pablo: MOLA AWAKE NURU KWENYE KABURI LAKO MPENDWA WATU - DR. MAKUFULI
Watanzania tutakukumbuka daima kwa ujasiri wako na uwadilifu katika kulitumikiya Taifa la Tanzania kwa nguvu zako zote. Inshallah Mola aiweke roho yako peponi Ameen. R. I. P

20. 03. 2021
KAYU LIGOPORA: MOLA AKUWEKE MAHALA PEMA
Mazuri yote uliyotuachia katika kipindi kifupi cha uongozi wako, KAMWE HAYATAFUTIKA.Umetuletea mabadiliko chanya yanayotufanya tuendelee kujivunia nchi yetu huku ughaibuni. Sisi tumekupenda lakini Mola amekupenda zaidi. Mola akuweke mahala pema.Amen

20. 03. 2021
Marinella Correggia: Heartfelt condolences from Italy
Torri in Sabina (Ri), Italy It is with a deep sadness that I send my heartfelt condolences for the loss of the President John Pembe Magufuli. Condolences to his family, to the people of Tanzania, to the government It is difficult to find the words. He did great things up to his last days for his people and showed courage and honesty. He was a pan-Africanist. It is really very sad that he cannot continue with his work. I hope that Tanzania will still follow his path, without being diverted by Western vested interests. The Tanzanians should know that many people, also here in Italy, in this last year learnt about Tanzania and appreciated a lot the president, the government and the people. Marinella Correggia, vocabolo Pontecese 105, 02059 Torri in Sabina (Ri) Italy, ph. 0039-3312053435

20. 03. 2021
AHADI SENZIGHE: RAMBIRAMBI
KUTOKA HAPA NILIPO, THESSALONIKI UGIRIKI: SI RAHISI KUJIELEZA KWA MANENO KWANI KWELI BADO SIJAAMINI AU KUKUBALI KIFO CHA HAYATI RAIS WETU MPENDWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. AMBAYE GHAFLA AMETANGULIA MBELE YA HAKI!!! RAMBIRAMBI ZANGU NYINGI SANA ZIWAFIKIE, MAMA SUZANNA MAGUFULI-MAMA YAKE MZAZI, MJANE WAKE MAMA JANETH MAGUFULI, WATOTO WAO, JAMII NA JAMAA ZAO. MWENYEZI MUNGU AMTUNZE PEMA PEPONI AMBAPO ANAPOSTAHILI KUWEPO. AMEN. TUMUOMBEE PIA RAISI WETU MPYA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN APATE BARAKA YA MWENYEZI KULIENDESHA HILI TAIFA LETU THABITI. SIFA ZOTE ZINZOHITAJIKA, NA WASAIDIZI ANAZO, NA SISI WOTE TUJITAHIDI KIKWELI NA KIZALENDO BEGA KWA BEGA KUWAENZI MWL. NYERERE NA DKT. MAGUFULI.

20. 03. 2021
H.E Elizabeth Paula Napeyok, Ambassador ...: Condolence message
The Ambassador and staff of the Embassy of the Republic of Uganda in Rome with profound shock have learnt of the demise of His Excellency Dr. John Pombe Magufuli, 5th President of the United Republic of Tanzania, who exhibited nationalistic and patriotic leadership in his lifetime especially during his Presidency that occasioned the transformation of the economy of his country and strengthened the strides of building a united and strong East Africa. We commiserate with you, and extend our heartfelt condolences to the Family, the People and the Leadership of the United Republic of Tanzania on his demise, and may his legacy live on for his contribution to the United Republic of Tanzania, East Africa and Africa at large. May the Almighty God rest his soul in eternal peace.

20. 03. 2021
Ungando: R.I.P DR. JOHN POMBE MAGUFULI
Tumepoteza mtu muhimu sana katika historia ya Taifa letu katika wakati muhimu sana tukiwa bado tunamuhitaji sana katika kuendeleza mapambano ya ukombozi wa kiuchumi. Mungu anafahamu ni kwa nini amefanya haya. Yeye ndie mfariji wetu na atatuongoza kutoka hapa kwenda tunakotakiwa kwenda. INNALILLAH WAYNAILAHI RAJIUN.

20. 03. 2021
Ansgar Jonathan Malobola: KAZI YA M. MUNGU IMEKAMILIKA!
Pole kwetu waTanzania na waAfrica kwa kuondokewa na Kamanda wetu Rais John Pombe Magufuli, tutakukumbuka JPM kwa yote mazuri uliyotufanyia waTanzania, pumzika Kamanda kwani naamini umekamilisha aliyoyataka Muumba wetu hapa DUNIANI, pumzika kwa Amani! Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jina lake lihidimiwe?? Amina!

20. 03. 2021
Omary Kitwana : Rambirambi
Kwa masikitiko makubwa sana napenda kuungana na Watanzania wenzangu katika kushiriki maombolezo ya kifo cha Rais wetu mpendwa Ndugu John Pombe Magufuli. Na pia napenda kuwapa pole familia ya marehemu kwa msiba huu mkubwa na wa ghafla kwao nawaombea mungu awape nguvu ktk wakati huu mgumu. Bwana ametoa bwana ametwaa ufalme wake uhimidiwe na raha ya milele umpe eh Bwana na mwanga wa milele umwangazie na apumzike kwa amani .... Ameen

20. 03. 2021
Tosh: PUMZIKA KWA AMANI
Tumeumbwa kwa udongo na tutarudi kwa udongo pumzika kwa Amani milele Amen! ?️?️? #RIPJohnpombemagufuli

19. 03. 2021
Thomas Celerin : Burian
Tunakushuru sana Mh. John Pombe Joseph magufu kwa kazi yako iliyotukuka na kutuheshimisha duniani na misingi bora ya uwongozi wako katika kuiletea nchi yetuTanzania maendeleo yakweli kwakuona kwamacho. Pumziko la milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umwangazie ampumzike kwa amani.

19. 03. 2021
KAYU LIGOPORA: MOLA AKUWEKE MAHALA PEMA
Mazuri yote uliyotuachia katika kipindi kifupi cha uongozi wako, KAMWE HAYATAFUTIKA.Umetuletea mabadiliko chanya yanayotufanya tuendelee kujivunia nchi yetu huku ughaibuni. Sisi tumekupenda lakini Mola amekupenda zaidi. Mola akuweke mahala pema.Amen

19. 03. 2021
Ambasciata della R.P.D di Corea in Itali...: condoglianza
L’Ambasciata della Repubblica Popolare Democratica di Corea in Italia esprime il più sentito cordoglio per la scomparsa del Presidente della Repubblica, S.E. John Pombe Magufuli, e per il lutto che ha colpito la Repubblica Unita della Tanzania e tutto il suo Popolo.

19. 03. 2021
Claudio Miscia - Cerimoniale Diplomatico...: Condolences
A nome del Cerimoniale Diplomatico della Repubblica e mio personale esprimo il più sentito cordoglio per la scomparsa del Presidente della Repubblica, S.E. John Pombe Magufuli, e per il lutto che ha colpito la Repubblica Unita della Tanzania e tutto il suo Popolo. Il Vice Capo del Cerimoniale Diplomatico della Repubblica Claudio Miscia

19. 03. 2021
H.E.Mr.Ahmed Boutache, Ambassador of Alg...: condolences
To. H.E. Mr. George Kahema Madafa Ambassador of the United Republic of Tanzania to Italy Excellency, It is with deep grief and sadness that we learnt the untimely death of His Excellency Dr. John Pombe Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania. In these difficult times, I wish to express on behalf of the Algerian Embassy staff and on my own behalf, my sincere and heartfelt condolences to the family, relatives and friends of the late President, as well as to all the people of Tanzania on the loss of a great leader, wishing the incoming President blessings, courage and patience. Magufuli was an outstanding leader and a committed Pan-Africanist, his tragic passing is an incalculable loss to Tanzania and the African Continent. His contribution to his country and to the region will not be forgotten. May God bless his soul and grant him eternal and restful peace. Ambassador Ahmed Boutache

19. 03. 2021
 
Powered by Phoca Guestbook